Ruka hadi kwenye maudhui
Tafsir As-Saadi - Swahili · Al-Anbiyaa
Sura ya 21

Al-Anbiyaa

Hii ni tarjama ya tafsiri ya as-Saʿdī kama IslamHouse.com inavyoichapisha katika saadi.islamenc.com, iliyosomwa kutoka kurasa za tovuti hiyo. Tovuti haisemi ni nani aliyeitafsiri kwa lugha nyingine wala inafuata toleo gani lililochapishwa, na haitaji masharti ya kuchukua matini yake, kwa hiyo haki ya kuionyesha haijathibitishwa. Hakuna aliyeilinganisha na kitabu kilichochapishwa, na hakuna mwanazuoni aliyeihakiki. Kila kifungu kipo kando ya aya inazozifafanua, ambazo ni matini ya Qur’ani ya Tanzil, inavyoonekana huko; aya ambayo tovuti haitoi ufafanuzi wake yenyewe inakaa pamoja na kifungu kilichotangulia, na faharasa inataja kila aya ya aina hiyo. Sabīl haikuandika wala kutafsiri kwa lugha nyingine chochote kati yake.

Maandishi kutokasaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)ilichukuliwa 2026-10-22

Aya ya 21

أَمِ ٱتَّخَذُوٓا۟ ءَالِهَةً مِّنَ ٱلْأَرْضِ هُمْ يُنشِرُونَ 21

{21} Wakati Mwenyezi Mungu Mtukufu alipobainisha ukamilifu wa uwezo wake na ukuu wake na kumnyenyekea kwa kila kitu, akawakanusha washirikina ambao walijifanyia miungu badala ya Mwenyezi Mungu katika duania kwa njia ya kueleza kwamba hawana uwezo kabisa wala nguvu. "Inayofufua?" Hili ni suali lenye maana ya kukanusha. Yaani hawawezi kuwafufua wala kuwakusanya, kama inavyofasiriwa na kauli yake Mtukufu, "Na wamechukua badala yake miungu ambayo haiumbi chochote, bali hiyo inaumbwa, wala haijimilikii nafsi zake madhara wala manufaa, wala mauti, wala uhai, wala kufufuka." (Na kauli yake), "Na wamechukua badala ya Mwenyezi Mungu miungu ili ati wapate kusaidiwa! Hawataweza kuwasaidia. Bali hao ndio askari wao watakaohudhurishwa."