انتقل إلى المحتوى
Tafsir As-Saadi - Swahili · الحشر
السورة ٥٩

الحشر

هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.

النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22

الآية ١٩

وَلَا تَكُونُوا۟ كَٱلَّذِينَ نَسُوا۟ ٱللَّهَ فَأَنسَىٰهُمْ أَنفُسَهُمْ ۚ أُو۟لَـٰٓئِكَ هُمُ ٱلْفَـٰسِقُونَ ١٩

{19} Na kunyimwa kwa hakika ni mja kughafilika mbali na jambo hili, na ajifananishe na watu waliomsahau Mwenyezi Mungu, na wakaghafilika mbali na suala la kumtaja na kutekeleza haki zake, na wakayaendea mambo yenye faida kwao tu na matamanio ya nafsi zao, kwa hivyo hawakufanikiwa wala hawakuwa na manufaa yoyote. Bali Mwenyezi Mungu aliwasahaulisha masilahi ya nafsi zao, na akawaghafilisha mbali na manufaa yao na faida zao, kwa hivyo mambo yao yakawa ni kupita mipaka, kwa hivyo wakarudi na hasara ya nyumba zote mbili, na wakapunjwa kupunjwa ambako hakuwezi kurekebishika na haiwezekani kuunganisha kuvunjika kwake. Kwa sababu “Hao ndio wavukao mipaka” ambao walitoka nje ya kumtii Mola wao Mlezi, na wakaingia muno katika kumuasi.