الفرقان
هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.
النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22
أَمْ تَحْسَبُ أَنَّ أَكْثَرَهُمْ يَسْمَعُونَ أَوْ يَعْقِلُونَ ۚ إِنْ هُمْ إِلَّا كَٱلْأَنْعَـٰمِ ۖ بَلْ هُمْ أَضَلُّ سَبِيلًا ٤٤
{44} Kisha Mwenyezi Mungu Mtukufu akaandika kwa sababu ya upotovu wao huu mkubwa kwamba aliwaondoshea akili na masikio, na akawafananisha katika upotofu wao na wanyama hoa ambao hawasikii isipokuwa wito na sauti tu "ni viziwi, mabubu, vipofu, kwa hivyo hawaelewi;" bali hawa ni wapotofu zaidi kuliko wanyama hoa. Kwa maana wanyama hoa mchungaji wao huwaelekeza nao kweli wakaelekea anakotaka, na wanajua njia yenye maangamivu kwao, wakaiepuka. Na wao tena wana mwisho ulio salama zaidi ya hawa. Kwa hivyo ni wazi kwa haya kwamba mwenye kumshutumu Mtume kwamba ni mpotevu, yeye haswa ndiye anayestahili sifa hii, na kwamba kila mnyama hoa ameongoka zaidi kumliko yeye.