انتقل إلى المحتوى
Tafsir As-Saadi - Swahili · النور
السورة ٢٤

النور

هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.

النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22

الآية ٤٤

يُقَلِّبُ ٱللَّهُ ٱلَّيْلَ وَٱلنَّهَارَ ۚ إِنَّ فِى ذَٰلِكَ لَعِبْرَةً لِّأُو۟لِى ٱلْأَبْصَـٰرِ ٤٤

{44} ''Mwenyezi Mungu hubadilisha usiku na mchana:'' Kutoka kwenye joto hadi kwenye baridi, na kutoka kwenye baridi hadi kwenye joto, na kutoka usiku hadi mchana, na mchana hadi usiku, na huzibadilisha siku kwa waja wake. ''Hakika katika hayo, yapo mazingatio kwa wenye kuona;'' yaani kwa wenye kuona na wenye akili zenye kutekeleza mambo yanayohitajika kwao kama vile macho yanavyotekeleza mambo yanayoshuhudiwa. Mwenye kuona huwatazama viumbe hawa kwa mtazamo wenye mazingatio, na kufikiria yale yanayotakikana kwa hayo na katika hayo, wakati mjinga huwatazama kwa sura ya kughafilika sawa na sura ya wanyama.