الحج
هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.
النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22
أُذِنَ لِلَّذِينَ يُقَـٰتَلُونَ بِأَنَّهُمْ ظُلِمُوا۟ ۚ وَإِنَّ ٱللَّهَ عَلَىٰ نَصْرِهِمْ لَقَدِيرٌ ٣٩
{39} Mwanzoni mwa Uislamu Waislamu walikuwa wamekatazwa kupigana na makafiri na wakaamrishwa kuwa na subira juu yao kutokana na hekima ya Mwenyezi Mungu, walipohamia Madina walidhurika na kupata ulinzi na nguvu. Walipewa ruhusa ya kupigana; kama alivyosema Mwenyezi Mungu Mtukufu: "Imeruhusiwa kwa wanaopigana." Inafahamika ndani yake kwamba walikuwa wamekatazwa hapo kabla, basi Mwenyezi Mungu akawaruhusu kupigana na wale wanaopigana nao, lakini akawaruhusu ila kwa sababu walikuwa wamedhulumiwa kwa kuwazuia kutoka kwao katika dini yao kwa kuwadhuru, na kuwatoa majumbani mwao. "Na hakika Mwenyezi Mungu ni Muweza wa kuwasaidia." Basi watafute msaada kwake na wamtake msaada.