انتقل إلى المحتوى
Tafsir As-Saadi - Swahili · الأنبياء
السورة ٢١

الأنبياء

هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.

النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22

الآية ٨٢

وَمِنَ ٱلشَّيَـٰطِينِ مَن يَغُوصُونَ لَهُۥ وَيَعْمَلُونَ عَمَلًا دُونَ ذَٰلِكَ ۖ وَكُنَّا لَهُمْ حَـٰفِظِينَ ٨٢

{82}"Na pia mashetani wanaompigia mbizi na kufanya kazi nyenginezo." Hii nayo ni miongoni mwa sifa za Sulaiman, amani iwe juu yake, kwamba Mwenyezi Mungu aliutiisha mashetani na mapepo, na akamtia nguvu kuwatiisha kwa vitendo ambavyo vingi havikuwa na uwezo wa mtu mwingine kuvifanya, basi wapo miongoni mwao wanaompigia mbizi baharini na kung'oa Lulu, na vitu vingine. Na miongoni mwao wapo wanaomfanyia hivyo "mihrabu, na masanamu, na madeste makubwa kama mahodhi, na masufuria makubwa." Alilitiisha kundi miongoni mwao ili waijenge Nyumba Takatifu, na akafa walipokuwa wakifanya kazi yake, na wakakaa baada yake kwa muda wa mwaka mmoja, mpaka walipojua kuhusu kifo chake. Kama itakavyokuja, Mwenyezi Mungu akipenda, "Na Sisi ndio tunaojua kila kitu." Yaani, hawawezi kujiepusha naye na kutomtii, bali Mwenyezi Mungu amewahifadhi kwa ajili yake kwa nguvu, utukufu, na mamlaka yake.