انتقل إلى المحتوى
Tafsir As-Saadi - Swahili · الأنبياء
السورة ٢١

الأنبياء

هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.

النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22

الآية ٨١

وَلِسُلَيْمَـٰنَ ٱلرِّيحَ عَاصِفَةً تَجْرِى بِأَمْرِهِۦٓ إِلَى ٱلْأَرْضِ ٱلَّتِى بَـٰرَكْنَا فِيهَا ۚ وَكُنَّا بِكُلِّ شَىْءٍ عَـٰلِمِينَ ٨١

{81} "Na tukamsahilishia Suleiman upepo." Yaani, tulimfanyia uwe "wa kimbunga." Yaani, ni mwepesi katika upitaji wake, "wendao kwa amri yake" popote unapogeuka unaafikiana na amri Yake. Asubuhi yake ni mwezi na mwisho wake ni mwezi "kwenye ardhi tuliyoibarikia." Nayo ni nchi ya Shamu; mahali palipokuwa makao yake, atakwenda kwa upepo wa mashariki na magharibi, na kimbilio lake na marejeo yake yatakuwa kwenye nchi iliyobarikiwa."Na Sisi ndio tunaojua kila kitu." Elimu yetu ilikizunguka kila kitu, na tukajifunza kwa Daudi na Sulaiman tuliyowafikishia tuliyoyataja.