Ruka hadi kwenye maudhui
Tafsir As-Saadi - Swahili · Al-Jaathiya
Sura ya 45

Al-Jaathiya

Hii ni tarjama ya tafsiri ya as-Saʿdī kama IslamHouse.com inavyoichapisha katika saadi.islamenc.com, iliyosomwa kutoka kurasa za tovuti hiyo. Tovuti haisemi ni nani aliyeitafsiri kwa lugha nyingine wala inafuata toleo gani lililochapishwa, na haitaji masharti ya kuchukua matini yake, kwa hiyo haki ya kuionyesha haijathibitishwa. Hakuna aliyeilinganisha na kitabu kilichochapishwa, na hakuna mwanazuoni aliyeihakiki. Kila kifungu kipo kando ya aya inazozifafanua, ambazo ni matini ya Qur’ani ya Tanzil, inavyoonekana huko; aya ambayo tovuti haitoi ufafanuzi wake yenyewe inakaa pamoja na kifungu kilichotangulia, na faharasa inataja kila aya ya aina hiyo. Sabīl haikuandika wala kutafsiri kwa lugha nyingine chochote kati yake.

Maandishi kutokasaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)ilichukuliwa 2026-10-22

Aya 1–2

حمٓ 1 تَنزِيلُ ٱلْكِتَـٰبِ مِنَ ٱللَّهِ ٱلْعَزِيزِ ٱلْحَكِيمِ 2

{1 - 2} Mwenyezi Mungu Mtukufu anajulisha kuhusu habari inayojumuisha amri ya kuitukuza Qur-ani na kuitunza. Nayo ni kwamba: "Uteremsho wa Kitabu umetoka kwa Mwenyezi Mungu" mwenye kufanyiwa uungu, anayeabudiwa. Kwa sababu ana sifa za ukamilifu, na ndiye mwenye neema peke yake, ambaye ni Mwenye nguvu kamili na hekima timilifu.