Yaseen
Hii ni tarjama ya tafsiri ya as-Saʿdī kama IslamHouse.com inavyoichapisha katika saadi.islamenc.com, iliyosomwa kutoka kurasa za tovuti hiyo. Tovuti haisemi ni nani aliyeitafsiri kwa lugha nyingine wala inafuata toleo gani lililochapishwa, na haitaji masharti ya kuchukua matini yake, kwa hiyo haki ya kuionyesha haijathibitishwa. Hakuna aliyeilinganisha na kitabu kilichochapishwa, na hakuna mwanazuoni aliyeihakiki. Kila kifungu kipo kando ya aya inazozifafanua, ambazo ni matini ya Qur’ani ya Tanzil, inavyoonekana huko; aya ambayo tovuti haitoi ufafanuzi wake yenyewe inakaa pamoja na kifungu kilichotangulia, na faharasa inataja kila aya ya aina hiyo. Sabīl haikuandika wala kutafsiri kwa lugha nyingine chochote kati yake.
Maandishi kutokasaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)ilichukuliwa 2026-10-22
تَنزِيلَ ٱلْعَزِيزِ ٱلرَّحِيمِ 5
{5} Na njia hii iliyonyooka ni "Uteremsho wa Mwenye nguvu, Mwingi wa kurehemu." Kwani ni katika njia hii ndiyo aliteremsha Kitabu chake na akakiteremsha kuwa ni njia kwa waja wake, inayowafikisha kwake. Na akakilinda kwa nguvu zake kutokana na mageuzi na mabadiliko. Na akawarehemu waja wake kwacho rehema kwa rehema walizoendelea kuwa nazo mpaka zikawafikisha katika nyumba ya rehema zake. Na ndiyo maana akahitimisha Aya hii kwa majina haya mawili matukufu: Mwenye nguvu, Mwingi wa kurehemu.