Ruka hadi kwenye maudhui
Tafsir As-Saadi - Swahili · Yaseen
Sura ya 36

Yaseen

Hii ni tarjama ya tafsiri ya as-Saʿdī kama IslamHouse.com inavyoichapisha katika saadi.islamenc.com, iliyosomwa kutoka kurasa za tovuti hiyo. Tovuti haisemi ni nani aliyeitafsiri kwa lugha nyingine wala inafuata toleo gani lililochapishwa, na haitaji masharti ya kuchukua matini yake, kwa hiyo haki ya kuionyesha haijathibitishwa. Hakuna aliyeilinganisha na kitabu kilichochapishwa, na hakuna mwanazuoni aliyeihakiki. Kila kifungu kipo kando ya aya inazozifafanua, ambazo ni matini ya Qur’ani ya Tanzil, inavyoonekana huko; aya ambayo tovuti haitoi ufafanuzi wake yenyewe inakaa pamoja na kifungu kilichotangulia, na faharasa inataja kila aya ya aina hiyo. Sabīl haikuandika wala kutafsiri kwa lugha nyingine chochote kati yake.

Maandishi kutokasaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)ilichukuliwa 2026-10-22

Aya 31–32

أَلَمْ يَرَوْا۟ كَمْ أَهْلَكْنَا قَبْلَهُم مِّنَ ٱلْقُرُونِ أَنَّهُمْ إِلَيْهِمْ لَا يَرْجِعُونَ 31 وَإِن كُلٌّ لَّمَّا جَمِيعٌ لَّدَيْنَا مُحْضَرُونَ 32

{31 - 32} "Je, hawaoni umma ngapi tulizoziangamiza kabla yao? Hakika hao hawarejei tena kwao." "Na hapana mmoja ila wote watakusanywa waletwe mbele yetu." Mwenyezi Mungu anasema: "Je, hawakuona hawa na kuzingatia ni kaumu ngapi tuliziangamiza kabla yao, na kwamba kwao hawatarejea katika dunia?" Mwenyezi Mungu atawarudisha wote kwa umbo jipya, na atawafufua baada ya kufa kwao, na watahudhuria mbele yake Mtukufu; ili ahukumu baina yao kwa hukumu yake ya uadilifu, ambaye hadhulumu hata uzito wa chembe. Na ikiwa ni jambo jema, basi Yeye atalizidisha na atapeana malipo makubwa kutoka kwake.