Ruka hadi kwenye maudhui
Tafsir As-Saadi - Swahili · Al-Qasas
Sura ya 28

Al-Qasas

Hii ni tarjama ya tafsiri ya as-Saʿdī kama IslamHouse.com inavyoichapisha katika saadi.islamenc.com, iliyosomwa kutoka kurasa za tovuti hiyo. Tovuti haisemi ni nani aliyeitafsiri kwa lugha nyingine wala inafuata toleo gani lililochapishwa, na haitaji masharti ya kuchukua matini yake, kwa hiyo haki ya kuionyesha haijathibitishwa. Hakuna aliyeilinganisha na kitabu kilichochapishwa, na hakuna mwanazuoni aliyeihakiki. Kila kifungu kipo kando ya aya inazozifafanua, ambazo ni matini ya Qur’ani ya Tanzil, inavyoonekana huko; aya ambayo tovuti haitoi ufafanuzi wake yenyewe inakaa pamoja na kifungu kilichotangulia, na faharasa inataja kila aya ya aina hiyo. Sabīl haikuandika wala kutafsiri kwa lugha nyingine chochote kati yake.

Maandishi kutokasaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)ilichukuliwa 2026-10-22

Aya ya 32

ٱسْلُكْ يَدَكَ فِى جَيْبِكَ تَخْرُجْ بَيْضَآءَ مِنْ غَيْرِ سُوٓءٍ وَٱضْمُمْ إِلَيْكَ جَنَاحَكَ مِنَ ٱلرَّهْبِ ۖ فَذَٰنِكَ بُرْهَـٰنَانِ مِن رَّبِّكَ إِلَىٰ فِرْعَوْنَ وَمَلَإِي۟هِۦٓ ۚ إِنَّهُمْ كَانُوا۟ قَوْمًا فَـٰسِقِينَ 32

{32} Kisha akamwonyeshwa ishara nyingine, kwa hivyo akasema: "Ingiza mkono wako, "kwenye mfuko wako, utatoka mweupe pasipo na ubaya wowote." Basi akauingiza na kuutoa kama vile Mwenyezi Mungu Mtukufu alivyotaja, "Na jiambatishe mkono wako ukihisi hofu," ili hofu ikutoke. "Basi hizi;" yaani, fimbo kugeuzwa nyoka na mkono hutoka mweupe bila uovu, "ni hoja mbili zitokazo kwa Mola wako Mlezi." Yaani, hoja mbili zilizopitishwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu, "umpelekee Firauni na wakuu wa umma wake. Hakika hao walikuwa watu wavukao mipaka." Haiwatoshi tu kuwaonya na kuamrishwa na Mtume. Bali lazima kuwepo ishara za ajabu ikiwa zitanufaisha.