Ash-Shu'araa
Hii ni tarjama ya tafsiri ya as-Saʿdī kama IslamHouse.com inavyoichapisha katika saadi.islamenc.com, iliyosomwa kutoka kurasa za tovuti hiyo. Tovuti haisemi ni nani aliyeitafsiri kwa lugha nyingine wala inafuata toleo gani lililochapishwa, na haitaji masharti ya kuchukua matini yake, kwa hiyo haki ya kuionyesha haijathibitishwa. Hakuna aliyeilinganisha na kitabu kilichochapishwa, na hakuna mwanazuoni aliyeihakiki. Kila kifungu kipo kando ya aya inazozifafanua, ambazo ni matini ya Qur’ani ya Tanzil, inavyoonekana huko; aya ambayo tovuti haitoi ufafanuzi wake yenyewe inakaa pamoja na kifungu kilichotangulia, na faharasa inataja kila aya ya aina hiyo. Sabīl haikuandika wala kutafsiri kwa lugha nyingine chochote kati yake.
Maandishi kutokasaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)ilichukuliwa 2026-10-22
قَالَ إِنِّى لِعَمَلِكُم مِّنَ ٱلْقَالِينَ 168 رَبِّ نَجِّنِى وَأَهْلِى مِمَّا يَعْمَلُونَ 169 فَنَجَّيْنَـٰهُ وَأَهْلَهُۥٓ أَجْمَعِينَ 170 إِلَّا عَجُوزًا فِى ٱلْغَـٰبِرِينَ 171 ثُمَّ دَمَّرْنَا ٱلْـَٔاخَرِينَ 172 وَأَمْطَرْنَا عَلَيْهِم مَّطَرًا ۖ فَسَآءَ مَطَرُ ٱلْمُنذَرِينَ 173 إِنَّ فِى ذَٰلِكَ لَـَٔايَةً ۖ وَمَا كَانَ أَكْثَرُهُم مُّؤْمِنِينَ 174 وَإِنَّ رَبَّكَ لَهُوَ ٱلْعَزِيزُ ٱلرَّحِيمُ 175
{168-175} Alipoona kwamba wanaendelea juu yake, "akasema:Hakika mimi ni katika wanaokichukia hiki kitendo chenu." Yaani, wale wanaomchukia, ambao wamekatazwa na walioonywa kukihusu kitendo hicho, alisema: "Mola wangu Mlezi, niokoe mimi na ahali yangu kutokana na kile wanachofanya." Kutokana na matendo yake na adhabu yake. Basi Mwenyezi Mungu alimjibu "Kwa hivyo tukamwokoa yeye na familia yake yote. Isipokuwa kikongwe aliye katika waliobaki nyuma;" yaani, waliobaki katika adhabu, naye ni mkewe. "Kisha tukawaangamiza wale wengine. Na tukawanyeshezea mvua," ya mawe kutoka Motoni. "Basi ni ovu mno mvua ya walioonywa." Akawaangamiza Mwenyezi Mungu kutoka mwisho. "Hakika katika hayo ipo Ishara, lakini hawakuwa wengi wao wenye kuamini. Hakika Mola wako Mlezi ndiye Mwenye nguvu, Mwenye kurehemu."