Al-Anbiyaa
Hii ni tarjama ya tafsiri ya as-Saʿdī kama IslamHouse.com inavyoichapisha katika saadi.islamenc.com, iliyosomwa kutoka kurasa za tovuti hiyo. Tovuti haisemi ni nani aliyeitafsiri kwa lugha nyingine wala inafuata toleo gani lililochapishwa, na haitaji masharti ya kuchukua matini yake, kwa hiyo haki ya kuionyesha haijathibitishwa. Hakuna aliyeilinganisha na kitabu kilichochapishwa, na hakuna mwanazuoni aliyeihakiki. Kila kifungu kipo kando ya aya inazozifafanua, ambazo ni matini ya Qur’ani ya Tanzil, inavyoonekana huko; aya ambayo tovuti haitoi ufafanuzi wake yenyewe inakaa pamoja na kifungu kilichotangulia, na faharasa inataja kila aya ya aina hiyo. Sabīl haikuandika wala kutafsiri kwa lugha nyingine chochote kati yake.
Maandishi kutokasaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)ilichukuliwa 2026-10-22
لَوْ كَانَ هَـٰٓؤُلَآءِ ءَالِهَةً مَّا وَرَدُوهَا ۖ وَكُلٌّ فِيهَا خَـٰلِدُونَ 99
{99} Hekima ya kuyaingiza masanamu katika Jahannam ni kuwa hayana uhai na hayana akili, na wala hayana dhambi: ni kubainisha uwongo wa wale wanaowafanya kuwa ni miungu, na ili adhabu yao iwaongezee. Ndiyo maana akasema; "Lau kuwa hawa ni miungu, wasingeliingia." Haya ni kama kauli ya Mwenyezi Mungu: "Ili kuwabainishia yale waliyohitalifiana, na ili wajue waliokufuru kwamba wao walikuwa ni waongo." Na kila mmoja katika waja na wanaoabudiwa watakaa humo milele, wala hawataiacha, wala hawatahamishwa kutoka humo.