Hud
This is a translation of Tafsīr as-Saʿdī as IslamHouse.com publishes it at saadi.islamenc.com, read from that site’s pages. The site does not say who translated it or which printed edition it follows, and states no terms for taking its text, so the right to show it is not verified. Nobody has compared it with a printed book, and no scholar has reviewed it. Each passage stands beside the verses it comments on, which are the Qur’ān text of Tanzil, shown as it is there; a verse the site gives no commentary of its own stands with the passage before it, and the index names each such verse. Sabīl did not write or translate any of it.
Text fromsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)taken 2026-10-22
يَـٰقَوْمِ لَآ أَسْـَٔلُكُمْ عَلَيْهِ أَجْرًا ۖ إِنْ أَجْرِىَ إِلَّا عَلَى ٱلَّذِى فَطَرَنِىٓ ۚ أَفَلَا تَعْقِلُونَ 51
{51} Kisha akataja kuwa hakuna kinachowazuia kufuata, akasema: "Enyi kaumu yangu! Siwaombi ujira kwa ajili ya haya." Yaani, siwaitishi gharama ya ninayowalingania kwayo kutoka katika mali zenu, mkaja kusema: Huyu anataka kuchukua mali zetu, lakini ninawalingania na kuwafundisha bure. "Ujira wangu hauko isipokuwa kwa Yule aliyeniumba. Basi hamtumii akili" juu ya kile ninachowalingania kwacho na kwamba ni lazima mkikubali, na hakina kizuizi chochote cha kukikataa?