الحاقة
هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.
النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22
ٱلْحَآقَّةُ ١ مَا ٱلْحَآقَّةُ ٢ وَمَآ أَدْرَىٰكَ مَا ٱلْحَآقَّةُ ٣
{1 - 3} "Tukio la haki" ni katika majina ya Siku ya Kiyama; kwa sababu ni la kweli na litateremka juu ya viumbe, na ndani yake uhakika wa mambo na yale yote yaliyofichika ya vifuani yatadhihirika. Kwa hivyo Mwenyezi Mungu akaitukuza hadhi yake na kuifanya kuwa kubwa mno kwa kurudia suala hili katika kauli yake: “Tukio la haki. Nini hilo Tukio la haki? Na nini kitakujuulisha nini hilo Tukio la haki?” Kwani ni jambo kubwa na lina mahangaiko makubwa. “Na katika ukuu wake ni kwamba Mwenyezi Mungu aliangamiza mataifa yaliyoikanusha kwa adhabu ya haraka.”