الحديد
هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.
النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22
ٱعْلَمُوٓا۟ أَنَّ ٱللَّهَ يُحْىِ ٱلْأَرْضَ بَعْدَ مَوْتِهَا ۚ قَدْ بَيَّنَّا لَكُمُ ٱلْـَٔايَـٰتِ لَعَلَّكُمْ تَعْقِلُونَ ١٧
{17} "Jueni kwamba Mwenyezi Mungu huifufua ardhi baada ya kufa kwake. Hakika tumekubainishieni Ishara ili mpate kuzingatia." Kwa kuwa ishara zinaonyesha akili kufikia kwenye matakwa ya Mwenyezi Mungu, na ambaye ndiye aliyeihuisha ardhi baada ya kufa kwake ana uwezo wa kuwafufua wafu baada ya kufa kwao na kuwalipa kwa matendo yao. Na aliyeihuisha ardhi baada ya kufa kwake kwa maji ya mvua, anaweza kuzifufua nyoyo zilizokufa kwa yale aliyoyateremsha ya haki juu ya Mtume wake. Aya hii inaashiria kwamba hana akili yule ambaye haongokii na ishara (Aya) za Mwenyezi Mungu na hakufuata sheria za Mwenyezi Mungu.