النساء
هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.
النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22
وَٱللَّهُ أَعْلَمُ بِأَعْدَآئِكُمْ ۚ وَكَفَىٰ بِٱللَّهِ وَلِيًّا وَكَفَىٰ بِٱللَّهِ نَصِيرًا ٤٥
{45} Ndiyo maana akasema, “Na Mwenyezi Mungu anatosha kuwa Mlinzi” Yani anasimamia hali za waja wake, na anawafanyia upole katika mambo yao yote, na anawasahilishia yale ambayo kwayo kuna furaha yao na kufaulu kwao. “Na Mwenyezi Mungu anatosha kuwa Mwenye kunusuru.” Anawanusuru dhidi ya maadui zao, na anawabainishia yale wanayoyatahadhari kutoka kwao, na anawasaidia dhidi yao. Hivyo basi, ulinzi wake Yeye Mtukufu una kupatikana heri, nusura yake ina kuondoka kwa uovu.