انتقل إلى المحتوى
Tafsir As-Saadi - Swahili · يس
السورة ٣٦

يس

هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.

النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22

الآية ٤٠

لَا ٱلشَّمْسُ يَنۢبَغِى لَهَآ أَن تُدْرِكَ ٱلْقَمَرَ وَلَا ٱلَّيْلُ سَابِقُ ٱلنَّهَارِ ۚ وَكُلٌّ فِى فَلَكٍ يَسْبَحُونَ ٤٠

{40} Na kila moja yake: jua na mwezi, usiku na mchana vimepangwa na Mwenyezi Mungu kwa viwango ambavyo haviwezi kuvizidi, na kila kimoja kina mamlaka yake na wakati wake. Kinapokuwepo, hicho kingine kinakosa kuwepo. Ndiyo maana akasema: "Haliwi jua kuufikia mwezi." Yaani, katika mamlaka yake ambayo ni usiku. Kwa hivyo, jua haliwezi kupatikana usiku, "wala usiku kuupita mchana" ukatokea kabla ya kumalizika kwa mamlaka yake. "Na vyote," yaani, jua, mwezi, na nyota, "vinaogelea katika njia zao" daima dawamu. Basi yote haya ni ushahidi wa wazi na hoja inayong'aa juu ya ukuu wa Muumba, na ukuu wa sifa zake, hasa sifa ya uwezo, hekima, na elimu katika mahali hapa.