انتقل إلى المحتوى
Tafsir As-Saadi - Swahili · فاطر
السورة ٣٥

فاطر

هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.

النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22

الآية ١٦

إِن يَشَأْ يُذْهِبْكُمْ وَيَأْتِ بِخَلْقٍ جَدِيدٍ ١٦

{16} "Akitaka, atakuondoeni na alete viumbe vipya." Inawezekana kwamba kinachokusudiwa hapa ni kwamba: Akitaka, atawaondoa, enyi watu, na kuwaleta watu wengine watiifu zaidi kwa Mwenyezi Mungu kuliko nyinyi. Na hili linakuwa ni tishio kwao kwamba wanaweza kuangamizwa na kutokomezwa, na kwamba mapenzi yake hayawezi kushidwa kufanya hilo. Na inawezekana kwamba kinachomaanishwa hapa ni kuthibitisha suala la ufufuo na kutawanyika kwa watu siku ya Kiyama. Na kwamba mapenzi ya Mwenyezi Mungu Mtukufu yanatekelezeka katika kila kitu, na katika kuwarudisha baada ya kifo chenu mkawa viumbe vipya. Lakini hilo lina wakati maalumu ambao Mwenyezi Mungu aliuweka na haliwezi kuutangulia wala kuchelewa zaidi yake.