انتقل إلى المحتوى
Tafsir As-Saadi - Swahili · النمل
السورة ٢٧

النمل

هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.

النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22

الآية ٩١

إِنَّمَآ أُمِرْتُ أَنْ أَعْبُدَ رَبَّ هَـٰذِهِ ٱلْبَلْدَةِ ٱلَّذِى حَرَّمَهَا وَلَهُۥ كُلُّ شَىْءٍ ۖ وَأُمِرْتُ أَنْ أَكُونَ مِنَ ٱلْمُسْلِمِينَ ٩١

{91} Waambie ewe Muhammad, "Ama mimi, nimeamrishwa nimuabudu Mola Mlezi wa mji huu." Yaani, Makka "aliyeufanya ni mtakatifu" na kuwaneemesha watu wake; na ikawa ni lazima wazikabili neema hizo kwa shukrani na kukubali, "na ni vyake Yeye tu vitu vyote" vya juu na vya chini. Na alitaja hili ili isifikiriwe kwamba umola wake ni juu ya Nyumba tukufu peke yake. Na niliamrishwa kwamba "niwe miongoni mwa Waislamu." Naye rehema na amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake, alikiwsha fanya hivyo. Kwani yeye ndiye wa kwanza wa umma huu kuwa Mwislamu, na mkubwa wao zaidi katika kujisalimisha.