النمل
هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.
النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22
فَلَمَّا جَآءَ سُلَيْمَـٰنَ قَالَ أَتُمِدُّونَنِ بِمَالٍ فَمَآ ءَاتَىٰنِۦَ ٱللَّهُ خَيْرٌ مِّمَّآ ءَاتَىٰكُم بَلْ أَنتُم بِهَدِيَّتِكُمْ تَفْرَحُونَ ٣٦
{36} Kwa hivyo akamtumia zawadi na wajumbe miongoni mwa watu wenye akili nzuri na maoni mazuri. "Basi alipofika (mjumbe) kwa Sulaiman, yaani, mjumbe huyo alikuja na zawadi; "alisema (Suleiman)" walipompa zawadi hiyo huku akiwakosoa na akiwakasirikia kwa sababu ya kukataa kwao kuitikia amri yake: "Hivyo ndivyo nyinyi mnanisaidia kwa mali? Aliyonipa Mwenyezi Mungu ni bora zaidi kuliko aliyowapa nyinyi." Hizi zawadi hazima mahali kwangu, wala siwezi kuzifurahia, kwani Mwenyezi Mungu amenitajirisha nisizihitaji, na akanipa neema nyingi. "Lakini nyinyi mnafurahia hii zawadi yenu." Kwa sababu ya upendo wenu juu ya dunia, vichache vilivyo mikononi mwenu kwa kulinganisha na vile ambavyo Mwenyezi Mungu amenipa.