انتقل إلى المحتوى
Tafsir As-Saadi - Swahili · الشعراء
السورة ٢٦

الشعراء

هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.

النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22

الآيات ٦٩–٧١

وَٱتْلُ عَلَيْهِمْ نَبَأَ إِبْرَٰهِيمَ ٦٩ إِذْ قَالَ لِأَبِيهِ وَقَوْمِهِۦ مَا تَعْبُدُونَ ٧٠ قَالُوا۟ نَعْبُدُ أَصْنَامًا فَنَظَلُّ لَهَا عَـٰكِفِينَ ٧١

{69-71} Yaani, ewe Muhammad, wasomee watu habari za Ibrahim Al-Khalil na habari zake kubwa na haswa katika hali hii tu. Vinginevyo, yeye ana habari nyingi, lakini katika habari zake nzuri na bora zaidi ni hii habari ambayo ina utume wake, kulingania kwake watu wake, na kuhojiana kwake nao, na [kubatilisha] kwake kwa kile walichokuwa juu yake. Na ndiyo maana akaifungamanisha habari hii na wakati huo, akasema, "Alipomwambia baba yake na kaumu yake: Mnaabudu nini?" "Wakasema" huku wakijisifu juu ya ibada yao. "Tunaabudu masanamu" ambao tunawachonga na kuwatengeneza kwa mikono yetu. "Daima tunayanyenyekea" katika nyakati zetu nyingi.