انتقل إلى المحتوى
Tafsir As-Saadi - Swahili · الفرقان
السورة ٢٥

الفرقان

هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.

النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22

الآية ٥٢

فَلَا تُطِعِ ٱلْكَـٰفِرِينَ وَجَـٰهِدْهُم بِهِۦ جِهَادًا كَبِيرًا ٥٢

{52} "Basi usiwatii makafiri" katika kuacha kitu miongoni mwa yale uliyotumwa nayo. Lakini fanya uwezo wako katika kufikisha yale uliyotumwa nayo. "Na pambana nao kwayo;" yaani, Qur-ani hii; "kwa Jihadi kubwa." Na wala usiendelee katika juhudi zako chochote cha kunusuru haki na kuiangamiza batili isipokuwa kifanye, hata kama utawaona wakikadhibisha na wakiwa na ujasiri ambao utaona, wewe jitahidi uwezo wako na bidii yao, na usikate tamaa juu ya kuongoka kwao, na usiache kuwafikishia ujumbe wa Mwenyezi Mungu kwa sababu ya matamanio yao.