المؤمنون
هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.
النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22
قُلْ مَن رَّبُّ ٱلسَّمَـٰوَٰتِ ٱلسَّبْعِ وَرَبُّ ٱلْعَرْشِ ٱلْعَظِيمِ ٨٦ سَيَقُولُونَ لِلَّهِ ۚ قُلْ أَفَلَا تَتَّقُونَ ٨٧
{86-87} Kisha akaelekea kwenye jambo kubwa kuliko hilo, na akasema: “Sema: Ni nani Mola Mlezi wa mbingu saba?" Na mianga na nyota zinazotembea na vilivyomo ndani yake, ‘Na Mola Mlezi wa A’rshi Kuu," ambaye ndiye aliye juu zaidi, aliyeenea zaidi, na mkuu kuliko viumbe vyote? Ni nani aliyeumba hivyo na akavipanga na akavisarifisha katika aina mbalimbali za viwango? "Watasema; ni vya Mwenyezi Mungu;" yaani, watakiri kwamba Mwenyezi Mungu ndiye Mola wa hivyo vyote, waambie watakapokiri hilo:"Basi Je, hamwogopi" kuwaabudu viumbe visivyo na msaada na mkamcha Mwenyezi Mungu Mkuu, Mkamilifu wa uweza Mkuu wa Ufalme? Na katika haya, umo wema wa kauli katika kusema kwake: "Basi, je, hamkumbuki?" "Basi je, hamwogopi?" Na kuhubiri ni kwa chombo cha uwasilishaji kinachovutia mioyo kwa yale ambayo yako wazi.