المؤمنون
هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.
النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22
فَإِذَا نُفِخَ فِى ٱلصُّورِ فَلَآ أَنسَابَ بَيْنَهُمْ يَوْمَئِذٍ وَلَا يَتَسَآءَلُونَ ١٠١
{101} Anatoa habari Mwenyezi Mungu kutokana na vitisho vya siku ya Qiyama, na ambayo yatapatikana katika hiyo [siku] kutokana na vitisho na wasiwasi, pindi likipulizwa parapanda pulizo la kufufua, wakakusanywa watu wote, katika wakati uliopangwa; kuwa litawapata hilo tishio litakalowasahaulisha nasaba zao ambalo ndiyo sababu kubwa zaidi, na isiyokuwa nasaba ni katika mlango ulio bora zaidi, kwa sababu hatauliza yeyote mwingine kuhusu hali yake, kwa kushughulika kwake na nafsi yake. Basi hajui je ataokoka uokozi ambao hauna uovu baada yake au atapata uovu ambao hakuna wema baada yake; Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu: "Basi utakapokuja ukelele Siku ambayo mtu atamkimbia nduguye, na mamaye, na babaye, na mkewe na wanawe. Kila mtu miongoni mwao siku hiyo atakuwa na lake la kumtosha."