انتقل إلى المحتوى
Tafsir As-Saadi - Swahili · الحج
السورة ٢٢

الحج

هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.

النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22

الآيات ٥٦–٥٧

ٱلْمُلْكُ يَوْمَئِذٍ لِّلَّهِ يَحْكُمُ بَيْنَهُمْ ۚ فَٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ وَعَمِلُوا۟ ٱلصَّـٰلِحَـٰتِ فِى جَنَّـٰتِ ٱلنَّعِيمِ ٥٦ وَٱلَّذِينَ كَفَرُوا۟ وَكَذَّبُوا۟ بِـَٔايَـٰتِنَا فَأُو۟لَـٰٓئِكَ لَهُمْ عَذَابٌ مُّهِينٌ ٥٧

{56 - 57} "Ufalme siku hiyo;" yaani: Siku ya Kiyama, "ni wa Mwenyezi Mungu," Mtukufu, na si kwa mwengine yeyote. "Anahukumu baina yao" kwa hukumu yake ya uadilifu na kadhia yake. "Basi waliomwamini" Mwenyezi Mungu na Mitume wake na waliyokuja nayo, "na wakatenda mema:" ili wapate kusadikisha kwa hayo imani yao, "wataingia katika mabustani ya neema." Neema ya moyo, na nyoyo, na mwili miongoni mwa yale yasiyoweza kuelezewa wala yale akili haziwezi kuelewa. "Na waliokufuru" Mwenyezi Mungu na Mitume wake, "na kuzikanusha aya zetu," zinazoongoza kwenye haki na uwongofu, na kuzipuuza au kuzifanyia ukaidi, "basi watapata adhabu ya kudhalilisha." Watakuwa katika ukali wake, na maumivu yake, na kuzifikia kwake nyoyo; kama vile walivyowadharau Mitume wake na Ishara zake. Mwenyezi Mungu aliwafedhehesha kwa adhabu.