انتقل إلى المحتوى
Tafsir As-Saadi - Swahili · طه
السورة ٢٠

طه

هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.

النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22

الآية ٥

ٱلرَّحْمَـٰنُ عَلَى ٱلْعَرْشِ ٱسْتَوَىٰ ٥

{5} Na alipobainisha kuwa Yeye ndiye Muumba, Mwendeshaji, Mwenye kuamirisha, Mwenye kukataza, akajulisha juu ya ukuu wake, ukubwa wake. Akasema, "Arrahmani (Mwingi wa rehema), aliyeinuka juu ya Kiti cha Enzi." Ambacho ndicho kiumbe cha juu zaidi na kikuu zaidi, na kipana zaidi. Naye ameinuka juu yake kuinuka kunakolingana na utukufu wake, na unaoendana na ukuu wake na uzuri wake. Kwa hivyo aliinuka juu ya Kiti cha Enzi na akauenea ufalme wake wote.