انتقل إلى المحتوى
Tafsir As-Saadi - Swahili · الكهف
السورة ١٨

الكهف

هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.

النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22

الآية ٤٢

وَأُحِيطَ بِثَمَرِهِۦ فَأَصْبَحَ يُقَلِّبُ كَفَّيْهِ عَلَىٰ مَآ أَنفَقَ فِيهَا وَهِىَ خَاوِيَةٌ عَلَىٰ عُرُوشِهَا وَيَقُولُ يَـٰلَيْتَنِى لَمْ أُشْرِكْ بِرَبِّىٓ أَحَدًا ٤٢

{42} Basi Mwenyezi Mungu akamuitikia dua yake, na "Yakateketezwa matunda yake" kwa adhabu iliyomzunguka na kumteketeza, na hakuna kitu hata kimoja chake kilichosalia katika miti yake, matunda yake, na mazao yake yote. Kwa hivyo akajuta majuto yote na akawa na huzuni mkubwa mno kwa sababu ya hilo. "Akabaki akipinduapindua viganja vyake kwa vile alivyoyagharamia." Yaani, kutokana na gharama zake kubwa za kidunia, zilipopotea na kutoweka, na wala hayakubakia malipo yoyote juu yake. Na pia akajuta juu ya ushirikina wake na uovu wake, na ndiyo maana akasema, “Akawa anasema: Laiti nisingelimshirikisha Mola wangu Mlezi na yeyote."