يوسف
هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.
النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22
وَتَوَلَّىٰ عَنْهُمْ وَقَالَ يَـٰٓأَسَفَىٰ عَلَىٰ يُوسُفَ وَٱبْيَضَّتْ عَيْنَاهُ مِنَ ٱلْحُزْنِ فَهُوَ كَظِيمٌ ٨٤
{84} Yaani, Yaaqub, rehema na amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake, akajitenga na wanawe baada ya wao kumwambia habari hii, na huzuni yake ikazidi, na macho yake yakawa meupe kutokana na huzuni ambayo iko moyoni mwake na mfadhaiko uliosababishia kulia sana, kwani macho yake yalikuwa meupe kutokana na hayo; "na aliizuia bila ya kuidhirisha.” Yaani, moyo wake ulijaa huzuni nyingi, "Na akasema: Huzuni wangu kubwa juu ya Yusuf!” Yaani ulimdhihirikia ule huzuni mkubwa wa zamani uliokuwa umefichika ndani yake, na pia shauku ya kudumu, na msiba huu mwepesi ukilinganishwa na ule wa kwanza ukamkumbusha ule msiba wa kwanza.