انتقل إلى المحتوى
Tafsir As-Saadi - Swahili · يوسف
السورة ١٢

يوسف

هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.

النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22

الآية ٧٣

قَالُوا۟ تَٱللَّهِ لَقَدْ عَلِمْتُم مَّا جِئْنَا لِنُفْسِدَ فِى ٱلْأَرْضِ وَمَا كُنَّا سَـٰرِقِينَ ٧٣

{73} “Wakasema: Tallahi! Hakika mlikwisha jua vyema kwamba sisi hatukuja kufanya uharibifu katika nchi hii” kwa kila aina ya maasia, “wala sisi si wezi.” Kwa maana wizi ni katika aina kubwa zaidi ya uharibifu katika ardhi. Na waliapa kwa sababu ya kujua kwao kwamba wao si waharibifu wala wezi. Kwa sababu walijua kwamba walichunguza hali zao kile kinachoashiria usafi wao na uchamungu wao, na kwamba jambo hili haliwezi kutokea kwao kwa kujua kwa wale wanaowatuhumu. Na hii ndiyo mbinu ya ufasaha zaidi katika kukanusha tuhuma kuliko kama wangesema: Tallahi hatujafanya uharibifu katika ardhi, wala hatukuiba.