انتقل إلى المحتوى
Tafsir As-Saadi - Swahili · يوسف
السورة ١٢

يوسف

هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.

النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22

الآية ٥

قَالَ يَـٰبُنَىَّ لَا تَقْصُصْ رُءْيَاكَ عَلَىٰٓ إِخْوَتِكَ فَيَكِيدُوا۟ لَكَ كَيْدًا ۖ إِنَّ ٱلشَّيْطَـٰنَ لِلْإِنسَـٰنِ عَدُوٌّ مُّبِينٌ ٥

{5} Na Yusuf alipofasiriwa maana yake, baba yake akamwambia: "Ewe mwanangu! Usiwasimulie nduguzo ndoto yako, wakaja kukufanyia njama." Yaani, kwa sababu ya husuda kutoka kwa nafsi zao, na kwamba wewe utakuwa raisi mtukufu juu yao. "Hakika Shetani ni adui aliye dhahiri kwa mwanadamu." Hachoki naye usiku na mchana wala kwa siri wala kwa dhahiri. Kwa hivyo, kuwa mbali na sababu ambazo anapata kwazo mamlaka juu ya mja ni bora zaidi. Kwa hivyo, Yusuf akafuata amri ya baba yake, na hakujulisha ndugu zake kuhusu jambo hilo, bali aliwaficha hilo.