التكاثر
هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.
النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22
أَلْهَىٰكُمُ ٱلتَّكَاثُرُ ١
{1} Anasema Mwenyezi Mungu Mtukufu akiwakemea waja wake kwa kujishughulisha kwao mbali na kile walichoumbwa kwa ajili yake cha kumuabudu Yeye peke yake bila mshirika, na kumjua Yeye, na kurejea kwake, na kutanguliza mapenzi yake juu ya kila kitu: "Kumekushughulisheni" mbali na hicho kilichotajwa, "kutafuta wingi." Hapa hakutaja kile kilichowashughulisha ili hilo lijumuishe kila kitu ambacho watu wanachokitafuta kiwe kingi wakajifahiri kwacho wenye kujifahiri, kama vile kutafuta wingi wa mali, watoto, wasaidizi, askari, watumishi, heshima na mambo mengineyo ambayo kila mtu anakusudia kwayo kutafuta wingi zaidi ya wenzake, na hawakusudii kwayo uso wa Mwenyezi Mungu.