يونس
هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.
النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22
وَإِمَّا نُرِيَنَّكَ بَعْضَ ٱلَّذِى نَعِدُهُمْ أَوْ نَتَوَفَّيَنَّكَ فَإِلَيْنَا مَرْجِعُهُمْ ثُمَّ ٱللَّهُ شَهِيدٌ عَلَىٰ مَا يَفْعَلُونَ ٤٦
{46} Yaani, usihuzunike, ewe Mtume juu ya hawa wanaokadhibisha, wala usiharakishe kwa sababu yao. Kwani, hakika ni lazima watapatwa na adhabu ambayo tunawaahidi: ima katika dunia, na uione kwa macho yako na nafsi yako itulie kwa hilo, au katika Akhera baada ya kuwatimizia muda wao. Kwani, marejeo yao ni kwa Mwenyezi Mungu, naye atawaambia yale waliyokuwa wakiyatenda, [Mwenyezi Mungu] aliyadhibiti vyema, nao wakayasahau, na Mwenyezi Mungu ni shahidi juu ya kila kitu. Basi aya hii ina ahadi ya adhabu kali kwao, na kumfariji Mtume ambaye kaumu yake walimkadhibisha na wakamkaidi.