Al-Jumu'a
This is a translation of Tafsīr as-Saʿdī as IslamHouse.com publishes it at saadi.islamenc.com, read from that site’s pages. The site does not say who translated it or which printed edition it follows, and states no terms for taking its text, so the right to show it is not verified. Nobody has compared it with a printed book, and no scholar has reviewed it. Each passage stands beside the verses it comments on, which are the Qur’ān text of Tanzil, shown as it is there; a verse the site gives no commentary of its own stands with the passage before it, and the index names each such verse. Sabīl did not write or translate any of it.
Text fromsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)taken 2026-10-22
قُلْ إِنَّ ٱلْمَوْتَ ٱلَّذِى تَفِرُّونَ مِنْهُ فَإِنَّهُۥ مُلَـٰقِيكُمْ ۖ ثُمَّ تُرَدُّونَ إِلَىٰ عَـٰلِمِ ٱلْغَيْبِ وَٱلشَّهَـٰدَةِ فَيُنَبِّئُكُم بِمَا كُنتُمْ تَعْمَلُونَ 8
{8} Ni hivyo, na ikiwa hawatamani kufa kwa sababu ya yale iliyoyatanguliza mikono yao, bali wanayakimbia kabisa. Lakini hilo halitawaokoa kutokana nayo, bali ni lazima watakutana na mauti, ambayo Mwenyezi Mungu ameshapitishia waja wake [na akawaandikia]. Kisha, baada ya kufa na kukamilika kwa mida, viumbe vyote vitarudishwa Siku ya Kiyama kwa ajuaye zaidi ghaibu na mambo yanayoonekana, na atawaambia mema na mabaya, machache na mengi waliyokuwa wakiyafanya.