Skip to content
Tafsir As-Saadi - Swahili · An-Nisaa
Sūrah 4

An-Nisaa

This is a translation of Tafsīr as-Saʿdī as IslamHouse.com publishes it at saadi.islamenc.com, read from that site’s pages. The site does not say who translated it or which printed edition it follows, and states no terms for taking its text, so the right to show it is not verified. Nobody has compared it with a printed book, and no scholar has reviewed it. Each passage stands beside the verses it comments on, which are the Qur’ān text of Tanzil, shown as it is there; a verse the site gives no commentary of its own stands with the passage before it, and the index names each such verse. Sabīl did not write or translate any of it.

Text fromsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)taken 2026-10-22

Verse 70

ذَٰلِكَ ٱلْفَضْلُ مِنَ ٱللَّهِ ۚ وَكَفَىٰ بِٱللَّهِ عَلِيمًا 70

{70} Hiyo ndiyo fadhila" ambayo walipata "kutoka kwa Mwenyezi Mungu." Kwa maana Yeye ndiye aliyewawezesha kufanya hivyo, na akawasaidia juu yake, na akawapa katika ujira ambao matendo yao hayakuweza kuufikia. Na Mwenyezi Mungu anatosha kwamba ndiye Mwenye kujua." Anazijua hali za waja wake, na yule anayestahiki thawabu kubwa miongoni mwao kwa matendo mema aliyoyafanya ambayo moyo na viungo vilikubaliana juu yake.