Al-Anbiyaa
This is a translation of Tafsīr as-Saʿdī as IslamHouse.com publishes it at saadi.islamenc.com, read from that site’s pages. The site does not say who translated it or which printed edition it follows, and states no terms for taking its text, so the right to show it is not verified. Nobody has compared it with a printed book, and no scholar has reviewed it. Each passage stands beside the verses it comments on, which are the Qur’ān text of Tanzil, shown as it is there; a verse the site gives no commentary of its own stands with the passage before it, and the index names each such verse. Sabīl did not write or translate any of it.
Text fromsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)taken 2026-10-22
إِذْ قَالَ لِأَبِيهِ وَقَوْمِهِۦ مَا هَـٰذِهِ ٱلتَّمَاثِيلُ ٱلَّتِىٓ أَنتُمْ لَهَا عَـٰكِفُونَ 52
{52} "Alipomwambia baba yake na watu wake: Ni nini haya masanamu" ambayo mmeyafananisha; na mkayachonga kwa mikono yenu katika maumbile ya baadhi ya viumbe, "ambayo mnashughulika kuyaabudu?" Mnasimama katika kuyaabudu hali ya kuwa mmelazimika kwa hilo; na ni akina nani viumbe hao? Na ni fadhila gani imethibiti kwao? Na ziko wapi akili zenu ambazo zimeenda hata mkaharibu nyakati zenu kwa kuyaabudu, ilhali nyinyi mlifananisha na kuchonga kwa mikono yenu wenyewe; hii ni moja ya maajabu makubwa; mnaabudu kile mnachokichonga?